proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,479
- 1,348
Wakuu habarini za muda huu,siku ya ijumaa nimepata barua ya kusimamishwa mkataba wangu kwa mwajili aliyeniajili toka 2013,kazi niliyokuwa nafanya ni ya mkataba wa miaka miwili miwili ,mwaka jana nilinew mkataba ulikuwa unaisha 2020 mwezi November ,ipo hivi ajili ni ya miaka miwili miwili mkataba ukikalibia kuisha inatakiwa uombe tena kabla miezi 3 kabla ya tarehe ya kuexpire ,so jana ijumaa nimepewa barua ya kusitishwa mkataba unaonitaka nilipwe mishahara ya miazi mitatu ya mbele toka tarehe niliyopewa barua ya kusitishwa mkataba kama fidia ya hiki kilichotokea ,sababu zilizomfanya mwajili kusitisha mkataba ni kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji wa hapa mahali tulipokuwa tunafanya kazi ,so naomba kuuliza sheria inasemaje kwa mazingira kama haya ,naomba wajuzi wanipe mazingira ya kisheri ,Asante