vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Isee huyo mkwe wako alitakiwa akufukuze na bomu la kutupa kwa mkono maana unachozungumza hata hakieleweki
Bangi ya leo itakuwa umevutia kwenye kinye.o😀😀Habari wakuu,
Huu uzi nauandika nikiwa high, so nashkuru kwa makosa yoyote ya kiuandishi nitakayopatia.
Juzi nilielezea mkasa wangu hapa wa baba mkwe kunifanyia mambo ya ajabu... Wengi walidhani ni utani...Jana nimepewa barua rasmi ya uchumba... Sina kazi tena...
Mke wangu ana miguu miwili, minne ipo mgongoni.... Maisha hayatabiriki, Nampenda sana Preta....
In short ni kuwa naomba member wenzangu mnishauri, magufuli ana lafudhi ya ajabu sana, anatumbua majipu, arusha kuna matege.
Aisee, hebu tuongee serious.... Nyie wenzangu mnaonaje?Hili ni jukwaa la pemba au unguja?
Nampenda baba mkwe, Mi nshamaliza.
Good afterparty!
We una miguu mingapi?Habari wakuu,

Huyu kalichanganya la Goweko (Tabora) na ArushaLeo umevuta ya wapi?
[emoji28] [emoji28]Huyu kalichanganya la Goweko (Tabora) na Arusha