Nimefukuzwa kazi, nimeanza kuvuta bangi

Nimefukuzwa kazi, nimeanza kuvuta bangi

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari wakuu,

Huu uzi nauandika nikiwa high, so nashkuru kwa makosa yoyote ya kiuandishi nitakayopatia.

Juzi nilielezea mkasa wangu hapa wa baba mkwe kunifanyia mambo ya ajabu... Wengi walidhani ni utani...Jana nimepewa barua rasmi ya uchumba... Sina kazi tena...

Mke wangu ana miguu miwili, minne ipo mgongoni.... Maisha hayatabiriki, Nampenda sana Preta....

In short ni kuwa naomba member wenzangu mnishauri, magufuli ana lafudhi ya ajabu sana, anatumbua majipu, arusha kuna matege.

Aisee, hebu tuongee serious.... Nyie wenzangu mnaonaje?Hili ni jukwaa la pemba au unguja?

Nampenda baba mkwe, Mi nshamaliza.

Good afterparty!
 
Isee huyo mkwe wako alitakiwa akufukuze na bomu la kutupa kwa mkono maana unachozungumza hata hakieleweki
 
Habari wakuu,

Huu uzi nauandika nikiwa high, so nashkuru kwa makosa yoyote ya kiuandishi nitakayopatia.

Juzi nilielezea mkasa wangu hapa wa baba mkwe kunifanyia mambo ya ajabu... Wengi walidhani ni utani...Jana nimepewa barua rasmi ya uchumba... Sina kazi tena...

Mke wangu ana miguu miwili, minne ipo mgongoni.... Maisha hayatabiriki, Nampenda sana Preta....

In short ni kuwa naomba member wenzangu mnishauri, magufuli ana lafudhi ya ajabu sana, anatumbua majipu, arusha kuna matege.

Aisee, hebu tuongee serious.... Nyie wenzangu mnaonaje?Hili ni jukwaa la pemba au unguja?

Nampenda baba mkwe, Mi nshamaliza.

Good afterparty!
Bangi ya leo itakuwa umevutia kwenye kinye.o😀😀
 
We una miguu mingapi?
 
Mbona wewe mwenyewe bangi????? Duuh!!!!! Baba mkwe alichelewesha alichokutenda.....
 
....hii sio bhang hili ni GOSO!/Kibaya zaidi unalivutia JUANI,hapo ulipo jicho jicho kweli jicho ngumi/
 
Ha ha ha,kwanza kabisa lafudhi ya magufuli ni kitu naturaly,sio unakuja dar unaanza kuwaiga wazaramo,be natural
 
Back
Top Bottom