Nimefukuzwa kazi, nimeanza kuvuta bangi

Hiyo haiwezi kuwa ni bangi. Ukivuta bangi huwezi kuongea pumba hivyo...huwa ni mapoint tuuuu.
 
Daaa umenikumbusha kipindi napulza mmea tokea kitu cha toi la skul
 
Mi nakataa! Huyu kuna kitu anatumia, lkn sio mmea wetu, hii sio bangi, bangi haiwezi kukufanya hivi! Hata mjengoni wanajua!
 
Pole ht me wkt naenda kazin boss wetu wa darasa la 3 alishindw kuvuka mto sbb ya lami kuwa ya moto bibi kaunguza vitumbua bus halifiki mbagala pale opposite ubungo riverside.joto kali mjini masweta yamepanda bei yaani hawa tanesco wamepandisha bei y maji km ewura
 
Dah inaskitisha sana
 
Wew unge mwambia kuwa bado bikra, angekupa dau kubwa
 
kwa mwandiko huu ushakuwa chizi kyakyakyaaa
 
Elton John alianza hivi hivi kabla ya hisia za kukunwa kuanza kumjia.
 
YA KISIMIRI NOMA! JARIBU UTAHISI UPO OFISINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…