Nimefumania alfajiri na mapema

Mpunga wako ulikuwa mdogo wewe unapanda Bodaboda jamaa kaja na Taxi angalia tofauti!!
 
angalia usije ambukizwa UKIMWI, aidha, mungu yuko upande wako kwani angekudanganya kuwa uko peke yako na hakuna haja ya kuvaa kondomu.
 
Hiyo ni ajali ya mapenzi. Ni ajali kama ajali ya kisiasa na ajali nyingine katika maisha isipokuwa ajali ya gari. Mkuu umesema umemwaga, ni kweli? Usije ukamfuata mwenyewe baadae, au aje apige magoti kwako. Kumwaga mpenzi unayempenda sio kazi rahisi. Pole mkuu, najua maumivu yake

Kiukweli dawa ya fumanizi ni kuachana, hata kama unamakosa wewe utaenda kuyarekebisha mbele ya safari kwenye uhusiano mpya
 
umefanya jambo jema na la kishujaa, kwa dunia ya sasa yenye magonjwa tele, hamna haja ya kumpa nafasi mwenza asiye mwaminifu, labda kama hujipendi.
Na hii ni kwa wanaume na wanawake, kama mwenza sio mwaminifu, tupa kwenye recycle bin, ukimwi upo na unaua.
 
Ni mkeo? au na wewe ulikuwa unabinjukia tu?

Kama huna ndoa inakuwa si fumanizi, usijidanganye. Kula uliwe.
 
Yote maisha wandugu. Wanaume tuishi na wanawake kwa akili. Kwa mwanamke ambaye mmeshawekeana ahadi kadhaa ni zaidi ya mpitanjia. Nashukuru Mungu nimeona mwenyewe
 
Yote maisha wandugu. Wanaume tuishi na wanawake kwa akili. Kwa mwanamke ambaye mmeshawekeana ahadi kadhaa ni zaidi ya mpitanjia. Nashukuru Mungu nimeona mwenyewe

Nimekuuliza huyo mwanamke ni mkeo wa ndoa?
 
Pole sana usije kubadili tu uamuzi wa kummwaga..
 

Pole sana mkuu.Wallet yako imepona though!
 
...kirahsi rahsi ivooo....ulikua hujapenda wewe....
 
mimi niliwahi kulala pia mpaka asubuhi na mapema ( alfajiri) nikaamka zangu kurudi kwangu kujiandaa kwenda kazini. Ila sikukutana wala kupishana na mtu mlangoni, ningesema ni wewe tumepishana. Pole sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…