Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana Wallet....
halafu, hivi kuna wanaume wanajiamini eeeh, anaenda kulala kwa demu wake? loh
Yote maisha wandugu. Wanaume tuishi na wanawake kwa akili. Kwa mwanamke ambaye mmeshawekeana ahadi kadhaa ni zaidi ya mpitanjia. Nashukuru Mungu nimeona mwenyewe
Karibu sana jamvini....acha unafiki ndugu yangu
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na kahamia hapo kama siku 3 hivi. Jioni iliyopita tuliagana vizuri baada ya kusolv tofauti zetu. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Ndipo nikashuka toka boda2 nikajibanza sehem kushuhudia. Nikaamua kwenda hadi mlangoni. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi... Nimemwaga on the spot. Wito wangu kwa wanaume, mwanamke akishaanza kuwa na viswahili vingi muogope.