Nimefumania alfajiri na mapema

Yaani kahamia kama siku tatu, halafu ndani ya hizo siku mkafahamiana, mkawa na tofauti then mkazisolve. ndani ya hizo siku tatu unamfumania. Wewe ulifikiria vipi mtu ndani ya siku tatu, mgeni halafu anakukubalia faster hivyo, hukujiuliza mara mbili mbili, au ulifikiri ndo mambo ya love in first sight..haha bongo hii hii.
 
Huyo dada inaelekea anapenda sana vijisent. Shukuru Mungu umegundua mapema.
 
Alikuwa mtu wangu ambaye kahamia maeneo napoishi, sio tumefahamiana siku 3, no!
 
Sijaelewa mtiririko mzima wa movie hii. Kuingizwa mjini kitu rahisi sana siku hizi
 
Alikuwa mtu wangu ambaye kahamia maeneo napoishi, sio tumefahamiana siku 3, no!

Okay, pole. Kwa uamuzi uliouchukua ndo sahihi ingawa kama ulimpenda kweli moyo utauma sana tu. Jikaze tu kama moyo unauma, with time utapona.

Labda nikuulize, hujawahi kumuhizi kuwa na tabia za kucheat hapo kabla?
 
ndo maana nikasema kuna ishu tulisolv. Tatizo ukimpa mwanamke nafasi ya kujitetea kwenye mambo hayo utaweza jiona ww una kosa
 
Mpunga wako ulikuwa mdogo wewe unapanda Bodaboda jamaa kaja na Taxi angalia tofauti!!

ah wap,je kama taxi kapewa lift?ama kabembeleza kwa buku akafika,af boda boda kapanda kwa buku3,BOONGE LA GAP men! Teh
 
Vidume kama nyie ndo mnatakiwa sasa..na cyo kina ooh nkamchunia cjapokea cmu,.. Uku roho znadundia kwenye boxa..bigap bro
 
Nenda kapime mkuu kama umeungua ishi kwa matumaini.Siku hizi mapenzi hamna.Kamata wako nyonga kimbia
 
umefumaniaaa au umeingiliaaa sehemu za watu.inawezekanaa wewee ulikuwaaa uletewee sidaa,huyo alie letewaa kobasi ndo anamuekaa mjini,
 
Yote maisha wandugu. Wanaume tuishi na wanawake kwa akili. Kwa mwanamke ambaye mmeshawekeana ahadi kadhaa ni zaidi ya mpitanjia. Nashukuru Mungu nimeona mwenyewe

The ritual has been perfected........manhood is not about years but the whole journey from boyhood.....you are now a man than before. Take a lead to life now as rehearsal session is over
 
Karibu kwenye ulimwengu wa wakubwa!
 
The ritual has been perfected........manhood is not about years but the whole journey from boyhood.....you are now a man than before. Take a lead to life now as rehearsal session is over

pamoja sana
 
mkuu ile siyo sabuni kuwa mtu akitumia inaisha,cha muhimu siku ukibanwa chapa mfanye kama changudoa fulani!
 
we kenge nini! Unaona kichina hapo?

Bora mie kenge, wewe mwanamke kakuona hufai, ungekuwa rijali asingeigawa! kwi kwi kwi teh teh teh.

Ndio mara yake ya kwanza kuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…