Joss
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 765
- 191
Yaani kahamia kama siku tatu, halafu ndani ya hizo siku mkafahamiana, mkawa na tofauti then mkazisolve. ndani ya hizo siku tatu unamfumania. Wewe ulifikiria vipi mtu ndani ya siku tatu, mgeni halafu anakukubalia faster hivyo, hukujiuliza mara mbili mbili, au ulifikiri ndo mambo ya love in first sight..haha bongo hii hii.