Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za nchi haziruhusuKuna haja Melo aanzishe jukwaa la watoto
NuksiHahahaa pole umeanza weekend vibaya
Kwa Mama mkwe acha kunikashifu basiKwahiyo uko wapi.....
Naunga mkono hoja 🤣😁😁😁😁😁
Jukwaa la Watoto lianzishwe
NAKAZIANaunga mkono hoja 🤣😁😁
Mhh huyu anawalakini
Mm napitia mateso ww una unga mkono hoja huna adabu 😡😡😡😡🐸🐸Naunga mkono hoja 🤣😁😁
Umekunywa mchai chai 😂😂sijawahi sema chai, ila hii imekuwa na kawaha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
🤣🤣🤣 Huna akili timamu weweCheupe wangu kiuno nyigu naishi kwake kama miezi 7 sasa alikuwa kasafiri Sasa kuna shangazi muuza dawa za kusafisha choo nililuka naye ana mauno tembo linajua kunyonya rungu la kipepe sio poa na tulikuwa tunapiga mchezo wa nyuki kulamba Asali kihome yani ana chupi yake fulan ya katikati ya mbingu na ardhi akiivaa mechi nanyonya asali bila nyuki kuning'ata sasa huyo shangazi ananipa sana hizo sabuni na hajui kama nina mpenzi maana nilimficha sina so anytime njoo home tu.
Sasa cheupe wangu karudi tumekaa kama wiki 2 hivi dawa ya kusafisha choo imeisha so ile dawa kuna tag ya mawasiliano pale kwanini asipige simu na mm tym hiyo nipo misele tu dahh yule shangazi kabeba sabuni mpaka home.
Cheupe wangu kanipigia simu kuna mgeni wako Fanya chapu bila hiyana nikasogea home kufika nawakuta cheupe kashika mwiko shangazi kashika sufuria.
Shangazi kanipiga na sufuria nikajifanya nimezimia ile wanaenda kuleta maji kunimwagia nizinduke nikapata upenyo nikakimbia.
Sasa kwa cheupe wangu kwake nimeacha nguo zangu vyeti vyangu na laptop yangu nifanyaje hapo aisee
Nimekimbilia kwa mama mkwe hapa wa x wangu maombi yenu.