Emer1
New Member
- Mar 27, 2023
- 3
- 2
Nimefungiwa account yangu ya Airtel money toka tarehe 2 mpaka leo wanadai kuna mtu alituma pesa kimakosa ambayo ni TSH 10,000 lakini kwenye account nilikuwa na zaidi ya hiyo nikawaambia muamala wa huyo mtu wangeurejesha
Nimeenda makao makuu yao zaidi ya mara 3 lakini sipewi msaada wananizungusha tu. Huu ni mwezi unaisha nauliza tatizo nini au kuna dhulma inataka kufanyika pesa zangu za biashara mpaka leo zipo kwenye account yangu hiyo walioifungia bila sababu yoyote sijui sababu ya kufungiwa hiyo account mwezi sasa