pambana ndg hapo ndipo unatakiwa kuvuka baadaye utasahau....kama unapata hata ya kuwalipa watumishi wewe umeanza vizuri mnoooo big upHabari ya mchana wakuu
Nahisi kuchanganikwa hapa, nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana, pesa iliyopatikan ni ya kulipa watumishi tu,hivi hii ni kawaida kwa biashara yoyote mpya inavyoanza anza au kwangu imenigomea tu.
acha imani kama hizo........Jaribu kutembea kidogo kwa wazee! mjini wachawi wengi nadhani umenielewa
Hizo ni imani za mababu zenu walizo kuwa wanaziabudu ndiyo maana walikuwa wanafanikiwa, siyo hizi imani za kina Sayyid Said&co zitawa costacha imani kama hizo........
Una mkataba gani Na wafanakazi wako?Habari ya mchana wakuu