Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

Umekosea masharti, mafanikio hayatangazwi
Hajatangaza mafanikio yeye ameomba ushauri.

Mleta mada changanya kila kitu spare za pikipiki magari ongeza na compressor ya kujaza upepo kwa maduka ya kukesha huingiza hela usiku bila kukosa misumari nyundo yaani kila kitu wewe weka kasoro bangi na cocaine tu.
 
Sasa wewe unachekesha unafanyaje biashara usiyoijua? Hukufanya utafiti kabla ya kuanza. Yaani utafiti wako unakuja baada ya kuanza biashara. Maswali yako ni ya awali kabisa kabla hujaanza biashara.

Anyway good luck!
Ukitaka kuamini ulichokiandika hapo haki-aply ktk realty tafuta professor anayefundisha masuala ya biashara mpe mtaji mwambie kwa yale anayoyafundisha ayaweke ktk uhalisia then ondoka rudi baada ya six months akupe mrejesho.

Biashara yoyote cha kuzingatia je mtaa alikofungua pana mzumguko?hilo ameshaliona wateja wapo ni yeye sasa anataka idea aweke nini na nini ili aende vizuri zaidi.
 
Kila la kheri,utatoboa tu,mambo mazuri hayataki haraka...
 
leo nimegundua kitu mpira umepunguza watejakesho ntafunga inch 43 na azam dish ili wasiende mbali na hapa ninapouza duka
 
Unakuta Mchaga ana duka dogo ila kajenga, waulize wakupe mbinu. Ila ukiiga tembo akinya unapasuka msamba.
 
Epuka kukopesha wanawake,
Hasa wanaojichekesha chekesha[emoji4]
 
1. Ubahili ndio mpango mzima
Asubuhi chai ya 500, mchana buku, usiku buku
2. Usikopeshe kabisaa, yaani wewe na mkopo muwe maadui wakubwa.
3. Punguza mazoea kwenye biashara yako na hasa na wanawake.

Mungu akutangulie

#YNWA
 
Usiendekeze wakopaji
Kila la kheri
 
Sasa wewe unachekesha unafanyaje biashara usiyoijua? Hukufanya utafiti kabla ya kuanza. Yaani utafiti wako unakuja baada ya kuanza biashara. Maswali yako ni ya awali kabisa kabla hujaanza biashara.

Anyway good luck!
kwahyo ufanye utafiti nje ya field au ndan
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…