The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Hajatangaza mafanikio yeye ameomba ushauri.Umekosea masharti, mafanikio hayatangazwi
Mleta mada changanya kila kitu spare za pikipiki magari ongeza na compressor ya kujaza upepo kwa maduka ya kukesha huingiza hela usiku bila kukosa misumari nyundo yaani kila kitu wewe weka kasoro bangi na cocaine tu.