fundi na watu wengne waliyazungumzia hayo,Kama ni fundi kweli anayeifahamu kazi yake B na amefanya kwa umakini, hakutakuwa na shida....
Ila kama ni mlipuaji kuna vitatizo huenda vikafuata soon kama vile leakage za oil...unaweza kuta sehemu zilizohitaji silicone yeye kazipuuzia..
Ishu nyingine timing belt au chain.....ila sina mashaka... ingekuwa ameitega vibaya ungeshajua pia kungekuwa na miss...kama gari linarun vizuri sina mashaka na hili..
Give it a ride for a while, then experience new behaviors...