Nimefungua engine ya Succeed VVTI je nini mabadiliko tarajiwa

Nimefungua engine ya Succeed VVTI je nini mabadiliko tarajiwa

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
salam wakuu,

gari iliserereka mtaroni, ikalalia ubavu ikiwa on, kwa maelezo ya fundi ikawa imevunja jino la switch, mkono ukapinda,
akabadili piston na ring.

hadi hapo engne ikawa imesambazwa, kaifunga na gari ipo barabaran. binafsi nahic kuna matatizo yaweza jitokeza kwa uchokonozi huo,
naomba kufahanishw pia tahadhar na ushauri.

Ahsanten.
 
Kama ni fundi kweli anayeifahamu kazi yake B na amefanya kwa umakini, hakutakuwa na shida.

Ila kama ni mlipuaji kuna vitatizo huenda vikafuata soon kama vile leakage za oil...unaweza kuta sehemu zilizohitaji silicone yeye kazipuuzia..

Ishu nyingine timing belt au chain.....ila sina mashaka... ingekuwa ameitega vibaya ungeshajua pia kungekuwa na miss...kama gari linarun vizuri sina mashaka na hili..

Give it a ride for a while, then experience new behaviors...
 
Kama ni fundi kweli anayeifahamu kazi yake B na amefanya kwa umakini, hakutakuwa na shida....

Ila kama ni mlipuaji kuna vitatizo huenda vikafuata soon kama vile leakage za oil...unaweza kuta sehemu zilizohitaji silicone yeye kazipuuzia..

Ishu nyingine timing belt au chain.....ila sina mashaka... ingekuwa ameitega vibaya ungeshajua pia kungekuwa na miss...kama gari linarun vizuri sina mashaka na hili..

Give it a ride for a while, then experience new behaviors...
fundi na watu wengne waliyazungumzia hayo,
natumai aliyazingatia vema,
pia kunitaka nisizidishe speed 60 ndan ya week moja hiv ili ring ziadopt kwnz.
Asante Mkuu,
 
Yupo sahihi, lakini siku mbili zinatosha kuiweka sawa injini ukisemea ring na kuangalia Kama kutatokea likeji yoyote
 
Kama fundi ni mzuri, yes haitakusumbua. Hata ikisumbua utakuta ni shida kidogo tu za tunning. Ukimpelekea atarekebisha. Shida kubwa ya kubadili parts za kwenye engine ni vile tunaweka parts fake. So ndani ya muda mfupi zinachoka. Kulinganisha na zile zinazokuja na gari.

Ndio maana nyingi utasikia watu wakisema ukishafungua engine ndio umekuwa mteja wa kudumu wa fundi.
 
Kama fundi hayuko vizuri tegemea pia kupata lickage ya oil kama fundi hakuwa makini sana...
 
Back
Top Bottom