Nimefungua salon, kwa wiki nafunga hesabu 90,000/-

Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,

Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Endelea na ajira mpaka biashara isimame ndio utoke huko na kuja kuisimamia. Usije ukawacha ajira kwa kusimamia biashara ilokuwa bado haija simama.

Weka faida ili ije ifungue saloon nyengine location nyengine, ukiwa nazo 3 hapo fikiria kusimamia biashara yako ikunufaishe.
 
Hongera sana
 
Toa huduma pia kama aliyokuwa anaitaka yule balozi wa Zambia south Africa kwa akina mama...utapiga hela
 
Weka king'amuzi cha Azam au DSTV, hasa cha Azam kitawavutia pia Washkaji wanaopenda kufuatilia soka la bongo huku wakisubiri kunyolewa

Weka Wadada wazuri wazuri figured wakusaidie kuosha watu vichwa na kuwachua...sio unaweka midume

Big Up Ticha
Saluni yenye mauzo ya 90,000 kwa wiki haiwezi ajiri wadada wenye figure. Bado hajatoa kodi, running cost, uchakavu.

Mazingira yanaruhusu kufanya mbinu nyingine ambazo haziumizi kwa gharama na hazileti hasara.
 
of course
 
Endelea na ajira mpaka biashara isimame ndio utoke huko na kuja kuisimamia. Usije ukawacha ajira kwa kusimamia biashara ilokuwa bado haija simama.

Weka faida ili ije ifungue saloon nyengine location nyengine, ukiwa nazo 3 hapo fikiria kusimamia biashara yako ikunufaishe.
siwez acha mzizi mkuu
 
Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,

Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha startimes, mashine zipo 6,nne za kuchaji, taa ya welcome inawaka kwa nje, kiti safi ila jumatatu naanza job za mapindi kibaruani, maoni na ushauri wako mdau wangu.
Hiyo teevee inchi 23 unaangalia kwa jicho moja ili umeme usiishe.
NB:Au umebadili namba.Badala ya 32 ukaandika 23?
 
Huko private unapoteza muda tu na hako ka posho ka kufundisha. Bora ujikite zaidi na saluni zako usimamie miradi yako, hiyo ndiyo akili
 
Bora Uwe busy uachane na kumfwatilia shemeji yako
 
Weka king'amuzi cha Azam au DSTV, hasa cha Azam kitawavutia pia Washkaji wanaopenda kufuatilia soka la bongo huku wakisubiri kunyolewa

Weka Wadada wazuri wazuri figured wakusaidie kuosha watu vichwa na kuwachua...sio unaweka midume
Wawekee na pool table nje wacheze
Weka na friji wauzie visungura
Weka na dish la azamu ,waoneshe mpira bure
Weka ka TV kakubwa angalu inchi 43
 
Back
Top Bottom