Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Screenshot_20200805-210735.png

Nimefungua nimeona trending route Ni dar ,Kilimanjaro to all over the world. Nimefikiria ndugu zetu Kenya si watashikwa na tumbo la kuhara, kwakweli tumefungua dunia
 
hakika kunawatu wanawaza Shari tu mda wote maana wanajenga hoja chokozi ambazo huzaa mifumo chonganishi
Ifike hatua tuwaache wateseke kimpangowao sisi tuendeee kupanua wigo
vitendo vinaongea kwa sauti kubwa zaidi ya maneno
 
Wataelewa tu muda ukifika.
Magufuli hata kama haumpendi yeye binafsi itafika wakati utapenda tu anachofanya kuhusu uchumi wetu kipindi hiki kigumu cha Coronavirus.

Wazungu na waarabu wamiliki wa hizo Airlines lazima wamkubali tu kwa kuwaokoa na kuwapunguzia mzigo wa kiuchumi, ameokoa ajira za baadhi ya wafanyakazi wao kwa kuruhusu commercial flights kuja Tanzania.
 
We mtoa mada unataka kusema nini kwamba hizo roti ni za kweli ausio kweli? Au unataka kusema kuna ugomvi kati ya kenya na KLM.?
 
We mtoa mada unataka kusema nini kwamba hizo roti ni za kweli ausio kweli? Au unataka kusema kuna ugomvi kati ya kenya na KLM.?
Mi nimeingia tu website yao baada ya kuona Kuna watalii wameingia Leo ndo nikakuta hivo ,
 
Hivi kwanini Airbus yetu haina route ya NBO? Hapo zaman ilikua ikienda Entebbe kama sikosei
 
Back
Top Bottom