Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

Mambo ya algorithm, ishasoma location yako hapo
 
Kinaonekana hapo ni iv website yao ina track IP adress ya mahali ww ulipo (nchi yako) then izo trwnding route ni route ambazo ndani ya nchi yako ndio KLM inabeba aabiria tokea izo route au wanaokwenda izo route. Iyo iyo website akifungua mru wa rwanda akiangalia trending route itasoma tofauti na ya mtu aliyepo tanzania.
 
Screenshot_20200806-082946.png
Mfano hii nimeingia ktk wwbsite yao then nime change location yangu badala Tz nimeweka Uganda. Kisha nikaangalia trending routew umeona kinachosomeka
 
View attachment 1528162
Nimefungua nimeona trending route Ni dar ,Kilimanjaro to all over the world. Nimefikiria ndugu zetu Kenya si watashikwa na tumbo la kuhara, kwakweli tumefungua dunia
Kwann unahangaika sana kuaminisha watu utopolo wako ulikujaa kichwani?? Unajichekesha?? Inakusaidia nini au inasaidia nini Taifa? Zile zimepaki pale JNIA weka safari zake hapa. Uongo haujengi. Hao wakenya wako miles ahead na shirika la ndege. Bure kabisa wewe.
 
How many bloody miles ahead?
Shirika Lao geresha tu asilimia kubwa linamilikiwa na mabeberu, kiufupi Kenya iko controlled na mabeberu Hadi ardhi. Yao imeshikiliwa na Viongozi wachache na mabeberu yaani mbuzi dume
 
hakika kunawatu wanawaza Shari tu mda wote maana wanajenga hoja chokozi ambazo huzaa mifumo chonganishi
Ifike hatua tuwaache wateseke kimpangowao sisi tuendeee kupanua wigo
vitendo vinaongea kwa sauti kubwa zaidi ya maneno
Tunawathibitishia kuwa kwetu hakuna corona kama wanavyoutangazia ulimwengu. Kumbuka maneno waliyoyatangaza dhidi yetu
 
View attachment 1528459Mfano hii nimeingia ktk wwbsite yao then nime change location yangu badala Tz nimeweka Uganda. Kisha nikaangalia trending routew umeona kinachosomeka
Hujui tunachobishania, hatubishani idadi ya ndege, ila tunawaonesha hila yao dhidi yetu haijakubalika. Kumbuka wametutangaza sisi tuna corona iliyovuka viwango
 
Hujui tunachobishania, hatubishani idadi ya ndege, ila tunawaonesha hila yao dhidi yetu haijakubalika. Kumbuka wametutangaza sisi tuna corona iliyovuka viwango
Nafikiri pia hujaelewa comment yangu..mi siku zungumzia idadi ya ndege. Trend route ndio subject matter. TREND ROUTE mm nilivyoona ni wale KLM izo ndio trend route zao ktk nchi yenu yaan wao wanapokea abiria wanaotekea nchi flqn wana waleta Tz (au unasema abiria wengi wanakuja Tz via KLM wanatokea /wanatumia route izo tajwa. Klm hapqninatuletea watalii
 
Back
Top Bottom