Weka pichaHuyu mwana jangwani wa kweli
Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba
Nmefurahi leo kumuona uwanjani
Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha
Huyu ndo alipigwa 5-0 na Simba, au alikuwa bado hajaingia?Huyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba
Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha
baada ya 5-0Ntoto wa mwaka 2000 umeanza fuatilia mpira lini
Kwa nini Simba wana hasira sana wanakosa upendo jamani rivers wanaondoka kesho tu sisi tunabakia kwa nini tugombaneHuyu mwana jangwani wa kweli
Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba
Nmefurahi leo kumuona uwanjani
Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha
Alipokuwa keko ulifurahi pia ndio maana hukwenda kumwonaHuyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba.
Nmefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
Nadhani hata Uwanja na hostel zingekuwa katika stage nzuri ya kukamilika.Kama Manji angekuwepo mpaka sasa tungekua tuna Taji ata Moja la Caf na vikombe 32 vya ligi kuu.
Makonda alifanya kazi kubwa sana kumharibia maisha Manji na Yanga Kwa ujumla.
Kwa nilivyomuona leo anaonekana hohehahe tuHuyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba.
Nimefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za Yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
1.gsmHuyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba.
Nimefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za Yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
Allah atamrejesha, alahu akber!Kwa nilivyomuona leo anaonekana hohehahe tu
Hana maajabu, uso umekosa nuru, ameshindwa hata kununua tiketi VIP?!!
Insha Allah [emoji1374]Allah atamrejesha, alahu akber!
Mijamaa imeumia sana . Mishabiki ya Simba ya kuanzia mwaka 2015 ni mijinga sana. Na yangebahatika juzi kufika nusu fainali nadhani yangetembea uchi. WIVU WA KICHAWI TU.Kwa nini Simba wana hasira sana wanakosa upendo jamani rivers wanaondoka kesho tu sisi tunabakia kwa nini tugombane
nenda zambia kamuulizie utakuja kufuta huu ugolo kijana nyie vitoto vya 2000 mna tabu sanaKwa nilivyomuona leo anaonekana hohehahe tu
Hana maajabu, uso umekosa nuru, ameshindwa hata kununua tiketi VIP?!!