Nimefurahi kumuona Yusuf Manji uwanjani leo

Nimefurahi kumuona Yusuf Manji uwanjani leo

Huyu mwana jangwani wa kweli
Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba
Nmefurahi leo kumuona uwanjani
Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha
Weka picha
 
Huyu mwana jangwani wa kweli
Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba
Nmefurahi leo kumuona uwanjani
Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha
Kwa nini Simba wana hasira sana wanakosa upendo jamani rivers wanaondoka kesho tu sisi tunabakia kwa nini tugombane
 
Weka picha
IMG_0539.jpeg
 
Huyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba.

Nmefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
Alipokuwa keko ulifurahi pia ndio maana hukwenda kumwona
 
Kama Manji angekuwepo mpaka sasa tungekua tuna Taji ata Moja la Caf na vikombe 32 vya ligi kuu.
Makonda alifanya kazi kubwa sana kumharibia maisha Manji na Yanga Kwa ujumla.
Nadhani hata Uwanja na hostel zingekuwa katika stage nzuri ya kukamilika.
 
Huyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba.

Nimefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za Yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
Kwa nilivyomuona leo anaonekana hohehahe tu
Hana maajabu, uso umekosa nuru, ameshindwa hata kununua tiketi VIP?!!
 
Kwa nini Simba wana hasira sana wanakosa upendo jamani rivers wanaondoka kesho tu sisi tunabakia kwa nini tugombane
Mijamaa imeumia sana . Mishabiki ya Simba ya kuanzia mwaka 2015 ni mijinga sana. Na yangebahatika juzi kufika nusu fainali nadhani yangetembea uchi. WIVU WA KICHAWI TU.

Sasahivi wimbo wao wa kujifariji ni kubeza kuwa ni kombe la luza

Tukifika fainali wengi watapata Kiharusi sababu ya WIVU.
 
Kwa nilivyomuona leo anaonekana hohehahe tu
Hana maajabu, uso umekosa nuru, ameshindwa hata kununua tiketi VIP?!!
nenda zambia kamuulizie utakuja kufuta huu ugolo kijana nyie vitoto vya 2000 mna tabu sana
 
Back
Top Bottom