M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 May 8, 2010 #1 Heshima kwenu wANA jf. Nimekuwa sipo ktk forum yetu hii kwa kipindi cha karibia miaka miwili kwa sababu mbalimbali. Nafurahi kurejea tena na kujiunga nanyi. Asanteni sana.
Heshima kwenu wANA jf. Nimekuwa sipo ktk forum yetu hii kwa kipindi cha karibia miaka miwili kwa sababu mbalimbali. Nafurahi kurejea tena na kujiunga nanyi. Asanteni sana.
Che Kalizozele JF-Expert Member Joined Jul 20, 2008 Posts 777 Reaction score 50 May 8, 2010 #2 Karibu tena mkuu nikiamini utakuwa umekuja na vitu vipya katika suala zima la kuliendeleza libeneke.
Mkorintho JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 594 Reaction score 1,141 May 8, 2010 #3 Karibu nyumbani kwa mara nyingine!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 May 9, 2010 #4 :rofl:karibu tena mkuu
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 May 9, 2010 #5 umerejea kwa sababu ya uchaguzi unaokuja au ndio hivyo tena, home sweat home
Jayfour_King JF-Expert Member Joined Nov 15, 2009 Posts 1,135 Reaction score 130 May 9, 2010 #6 Jasiri haachi asili naamini utakuwa umekuja wakati muafaka kwa ajili ya maandalizi ya siasa za mwezi october, karibu tena nyumbani jirani.
Jasiri haachi asili naamini utakuwa umekuja wakati muafaka kwa ajili ya maandalizi ya siasa za mwezi october, karibu tena nyumbani jirani.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 May 10, 2010 #7 2 years ni muda karibu sana tunashukuru mungu uko mzima
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,921 Reaction score 4,240 May 10, 2010 #8 Karibu tena.Na sisi ni watoto tuliozaliwa wakati haupo.
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 May 10, 2010 Thread starter #9 Thanks Ladies and Gentlemen. Mpokeo wenu umenipa nguvu, tupo wote kumkoma nyani .... Thanks again!
Renegade JF-Expert Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,221 Reaction score 6,940 May 10, 2010 #10 Karibu tena.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 May 10, 2010 #11 Welikam bwaana! Tunashukuru kutokuwepo kwako huenda kulitoa mwanya wa sisi kupenya! Joke!