Nimefurahi kurejea!

Nimefurahi kurejea!

Misterdennis

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2007
Posts
1,741
Reaction score
481
Heshima kwenu wANA jf.

Nimekuwa sipo ktk forum yetu hii kwa kipindi cha karibia miaka miwili kwa sababu mbalimbali.
Nafurahi kurejea tena na kujiunga nanyi. Asanteni sana.
 
Karibu tena mkuu nikiamini utakuwa umekuja na vitu vipya katika suala zima la kuliendeleza libeneke.
 
umerejea kwa sababu ya uchaguzi unaokuja au ndio hivyo tena, home sweat home
 
Jasiri haachi asili naamini utakuwa umekuja wakati muafaka kwa ajili ya maandalizi ya siasa za mwezi october, karibu tena nyumbani jirani.
 
2 years ni muda karibu sana tunashukuru mungu uko mzima
 
Thanks Ladies and Gentlemen.
Mpokeo wenu umenipa nguvu, tupo wote kumkoma nyani .... Thanks again!
 
Welikam bwaana! Tunashukuru kutokuwepo kwako huenda kulitoa mwanya wa sisi kupenya! Joke!
 
Back
Top Bottom