Nimefurahi Sadaka yangu ya mwezi huu July kwenda CHADEMA

Moyo wangu umejawa na furaha kama Ile ya Abel (Habil) baada ya kutoa sadaka ya kukubalika mbele za Mungu.

Ingawa sadaka ya Abel ilikuwa na wivu dhidi ya ndugu yake Kaini.
Dogo ushachemsha! Mambo usiyoyajua bora ujiridhishe kwanza. Aya yako ya mwisho, AIBU tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…