Nimefurahi sana heshima anayoendelea kupewa Alphonse Simbu na Serikali

Nimefurahi sana heshima anayoendelea kupewa Alphonse Simbu na Serikali

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Alphonce Simbu amefungua ukurasa mpya wa celebrities katika Taifa letu.

Kwa muda mrefu nilihuzunika kuona jamii ikishereheshwa na wanamuziki, wasanii wa filamu na komedi kiasi kwamba watoto wetu wakaanza kujifunza kuwa ukitaka ufanikiwe basi inabidi uwe kama Mwijaku au Baba levo au Kingwrndu..

Vivyo hivyo viongozi wetu wa kisiasa walishaanza kuacha kuwafuatilia na kujihusisha na true performers katika jamii.

Leo hii nimefurahi sana kuona Rais Samia anathamini juhudi na matokeo yanayotokana na hardworking.

Alphonce Simbu anaweka kiwango au standard ya nani haswa anapaswa kuthaminiwa kutokana na hardworking.

Hii ni rai kwa wote hususani corporate societies kuanza kutambua a true hardworking ,innovations na skills zilizopo kwenye jamii yetu na hivyo kuzipa zawadi.

Inakera kuona CRDB inatoa medali za jogging zisizo na tija na kuacha kuwapa fedha the real hardworking men like Simbu.

Huu ni ukurasa mpya uliofunguliwa na tunapaswa kuuenzi.

Athletics is science and business.
 
huyu mama ni tumaini kwa watanzania mfano mdogo niko moshi kwa kweli wachaga wameamua kwenda na mama bega kwa bega kila mwana moshi mjini amejawa na shauku juu ya ujio wake wiki ijayo ni kama kuna mlipuko wa furaha mioyoni mwao hayo nimeyashuhudia kwenye vijiwe mbalimbali viunga vya moshi mjini
 
Kwa kweli huyu mama ni mtu mwema sana.
Hana skendo yoyote chafu mpaka sasa.
Anapambana sana na ufisadi kwa kweli.
Sijui kama kuna mtanzania hatompigia kura ya ndio mwezi October.
 
Moshi ipi hiyo?
 
Kwa kweli huyu mama ni mtu mwema sana.
Hana skendo yoyote chafu mpaka sasa.
Anapambana sana na ufisadi kwa kweli.
Sijui kama kuna mtanzania hatompigia kura ya ndio mwezi October.
Hivi mko serious au mmeamua kumkebehi?
 
Sinbu ni nani huyo na kufanyiwa/kafanya nini?
 
Back
Top Bottom