Alphonce Simbu amefungua ukurasa mpya wa celebrities katika Taifa letu.
Kwa muda mrefu nilihuzunika kuona jamii ikishereheshwa na wanamuziki, wasanii wa filamu na komedi kiasi kwamba watoto wetu wakaanza kujifunza kuwa ukitaka ufanikiwe basi inabidi uwe kama Mwijaku au Baba levo au Kingwrndu..
Vivyo hivyo viongozi wetu wa kisiasa walishaanza kuacha kuwafuatilia na kujihusisha na true performers katika jamii.
Leo hii nimefurahi sana kuona Rais Samia anathamini juhudi na matokeo yanayotokana na hardworking.
Alphonce Simbu anaweka kiwango au standard ya nani haswa anapaswa kuthaminiwa kutokana na hardworking.
Hii ni rai kwa wote hususani corporate societies kuanza kutambua a true hardworking ,innovations na skills zilizopo kwenye jamii yetu na hivyo kuzipa zawadi.
Inakera kuona CRDB inatoa medali za jogging zisizo na tija na kuacha kuwapa fedha the real hardworking men like Simbu.
Huu ni ukurasa mpya uliofunguliwa na tunapaswa kuuenzi.
Athletics is science and business.