ngulukizi JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 619 Reaction score 1,749 Aug 4, 2024 #21 Tate ndio Jemedar said Muwe mnawambia wachezaji wenu kuwa ukiuza mechi hizi timu viongozi huwa wanatambiana na kusema kabisa kuwa Fulani ndio katuuzia hivyo hawana sili
Tate ndio Jemedar said Muwe mnawambia wachezaji wenu kuwa ukiuza mechi hizi timu viongozi huwa wanatambiana na kusema kabisa kuwa Fulani ndio katuuzia hivyo hawana sili
Mbuguni TPC JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 535 Reaction score 405 Aug 4, 2024 #22 Wewe si ni mungu mtu haya isaidie simba ichukue ubingwa msimu huu.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Aug 4, 2024 #23 Mpira unazama zake asee,
Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 2,139 Reaction score 5,109 Aug 4, 2024 #24 shukrani ya punda.... , malipo ni tarehe 8 ndio tutajua manula alikuwa shati au la!!
Huja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2021 Posts 1,167 Reaction score 1,848 Aug 4, 2024 #25 Simba ianze tu upya..
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Aug 4, 2024 #26 GENTAMYCINE said: Yote. Click to expand... Wachezaji wa ndani walizidiwa mpaka kukalishwa na mzize,uje kumlaumu kipa!!
GENTAMYCINE said: Yote. Click to expand... Wachezaji wa ndani walizidiwa mpaka kukalishwa na mzize,uje kumlaumu kipa!!