Nimefurahi sana kusikia mwamba Trump kasitisha misaada kwa nchi nyingine

1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.
Sahihi kabisa, mbaya zaidi tunagawa rasilimali bure kwa washikaji
 
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;

1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.

2. Pesa ambazo vyama tawala Afrika wanazitumia kujiimarisha hakuna chama ambacho kinaweza kueleza kinagaubaga pesa zote wametoa wapi.

Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Utasikia ni michango ya wanachama , wanachama wenyewe ni wale mafukara wa vijijini wanaoungwa kwa ulaghai ndio watoe pesa kulipia kadi za chama?

Ninaamini pesa za misaada ndizo hutumiwa na vyama tawala kinyume na makubaliano na watoa misaada.
Msikilize huyu👇

View: https://web.facebook.com/reel/1084627483349311
 
Mapovu na makelele ya nini?
Upo kwenye site ya Mwafrika, unatumia lugha ya Mwafrika, si ajabu ww unaeza kuwa Mwafrika. Ila unajitoa utu eti kwasababu Dictator Trump kasema anasitisha Misaada.

Misaada amesitisha kwa Waafrika tu?
Unajua bargainig chips za Dictator Trump?

Hapo anataka kuwatengeneza Ukraine kule.

Dimwit
HIVI HUONI AIBU AFRICA UKITOA VILUGA VYENU MNALUGA GANI,,KISWAHILI HIZI AMBACHO HAKINA MISAMIATI AU LUGHA IPI LABDA.

TURUMP ANANIKOSHA SANA JINSI ANAVYOBANA MIBINYO KONKI😁😁😁😁

HUNA CHOO,HUNA BARABARA,HUNA UMEME WA UWAKUKA,HUNA ELIMU BORA,WATU WAKO WANASHINDIA UJI,VIJANA HAWANA AJIRA ILA WEWE UNAENDESHA V8,UMERIDHIKA KABISA NA SUTI YAKO UNAJIONA MSOMI UCHWARA WA UCHUMI NCHI INAIMPORT SANA NA HAINA KITU CHA MAANA INAEXPORT.

NA USOMI WAKO UNATEGEMEA KUISHI KWA MKOPO WA BWANA TURUMP ALAFU SAIVI UNAMTUKA TURUMP DIKITETA🤣🤣🤣🤣
 
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;

1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.

2. Pesa ambazo vyama tawala Afrika wanazitumia kujiimarisha hakuna chama ambacho kinaweza kueleza kinagaubaga pesa zote wametoa wapi.

Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Utasikia ni michango ya wanachama , wanachama wenyewe ni wale mafukara wa vijijini wanaoungwa kwa ulaghai ndio watoe pesa kulipia kadi za chama?

Ninaamini pesa za misaada ndizo hutumiwa na vyama tawala kinyume na makubaliano na watoa misaada.
Misaada ya marekani, trump kabanwa kaachia misaada inayohusu afya itaendelea kama kawaida mkuu
 
"Tuliwatenga na kuwaengua watu weusi kwenye mipango ya maendeleo ya nchi yetu ya South Africa kwa sababu wangeharibu mipango yatu mizuri"Botha

"Popote umwonapo mtu mweusi ujue Kuna tatizo maana mtu mweusi mwenyewe ni tatizo"Botha
 
Uenda ujio wa Trump ukaleta msukumo kwa mataifa yote tajiri kuacha kutukopesha na kutupatia maendeleo tuone kama hatusongi mbele.
 
Back
Top Bottom