Sahihi kabisa, mbaya zaidi tunagawa rasilimali bure kwa washikaji1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.
Msikilize huyuπTrump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;
1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha zinaingia kwenye mifuko ya watu kisha chenji ndizo zinaingizwa kwenye miradi.
Ifutwe kabisa ili tuishi kwa vyetu vichache huenda tukaishi kwa nidhamu.
2. Pesa ambazo vyama tawala Afrika wanazitumia kujiimarisha hakuna chama ambacho kinaweza kueleza kinagaubaga pesa zote wametoa wapi.
Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Utasikia ni michango ya wanachama , wanachama wenyewe ni wale mafukara wa vijijini wanaoungwa kwa ulaghai ndio watoe pesa kulipia kadi za chama?
Ninaamini pesa za misaada ndizo hutumiwa na vyama tawala kinyume na makubaliano na watoa misaada.
HIVI HUONI AIBU AFRICA UKITOA VILUGA VYENU MNALUGA GANI,,KISWAHILI HIZI AMBACHO HAKINA MISAMIATI AU LUGHA IPI LABDA.Mapovu na makelele ya nini?
Upo kwenye site ya Mwafrika, unatumia lugha ya Mwafrika, si ajabu ww unaeza kuwa Mwafrika. Ila unajitoa utu eti kwasababu Dictator Trump kasema anasitisha Misaada.
Misaada amesitisha kwa Waafrika tu?
Unajua bargainig chips za Dictator Trump?
Hapo anataka kuwatengeneza Ukraine kule.
Dimwit
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππWe jamaa unatutukana sana. Hata kama ni ukweli basi punguza
Misaada ya marekani, trump kabanwa kaachia misaada inayohusu afya itaendelea kama kawaida mkuuTrump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.