Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Huyu mwanaume pamoja na umri wake ana madini kuliko mtu yeyoye unayemjua wewe hapa Tanzania, kwanza ni msomi wa hali ya juu, pili anajua historia ya nchi hii, tatu hakuna hoja unayoweza kuiweka mezani akashindwa kuijengea hoja, mwanaume huyu anazungumza kwa hoja inayoeleweka, nakumbuka kuna kipindi fulani wakati wa utawala wa JK kulikuwa na ziara ya Rais Obama hapa nchini, ni Wassira ndiye aliyepewa kazi ya kuongoza jahazi, maridhiano yoyote ya kisiasa unayoyajua wewe Wassira lazima akae pembeni.
Soma pia: LIVE - Wasira kupigiwa kura kumrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
Ewe mungu wewe naomba kama kuchukua roho uichukue roho yangu mie kabla ya Steven Wassira maana kila ninapomuona kwenye majukwaa ama vyombo vya habari lazima nikae kumsikiliza mwalimu huyu wangu wa siasa.
Mungu akuwe wepesi mzee Wassira, akupe nguvu na ujasiri wa kumsaidia mama katika chama.Dah am very happy today.