Nimefurahi sana Steven Masatu Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

Huyu huyu Wasira mrusha ngumi hadi wakamwita "Tyson"?

Unajua alitoa ahadi ya kuimaliza CHADEMA kabla ya 2020 lakini mpaka Leo CHADEMA Bado ipo moto.
Mkuu, ahadi ya Wassira ilikuwa CHADEMA ku - RIP kufikia 2013. Mtu wa kale yule.

Ya by 2020 ni JPM. Sasa hawasemi tena. Wanamwaga sumu kimya kimya.

Nahisi Wassira kaingizwa uwanjani kuharakisha kazi ya kuinyonga CHADEMA.
 
NI STRATEGIC APPOINTMENT, kanda ya ziwa ina mtaji wenye afya wa kura za CCM!!
 
Moja wazee wasiopenda kustaafu tangu enzi za Mwalim yupo, wazee wengine Bwana
 
Kwenye uchaguzi Sura ya mtu ni ya muhimu sana. Chaguzi za Tanzania wenye sura mbaya wanashinda kwa kuiba kura. Huyu atafanya CCM wakose kura nyingi sana. Asante CCM.
 
CCM kina vilaza mpaka basi. Huyu mwandishi haya maneno hata angechaguliwa makamba angeyaandika hivi, angechaguliwa Mrisho Gambo au Makonda angeandika hivi hivi. Huwa watu wa namna yako wanasikilizia tu njaa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…