Nimefurahi wahuni wamepiga hadi madhabahuni na taasisi za kidini zimeweka unafiki wao pembeni

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Kwa muda mrefu wanamageuzi ndani na nje ya vyama vya siasa wamekua wakiteswa Dana na wahuni,magereza,mitaro,risasi,miili kutupwa kama mizoga baharini imekua ni mapito ya kwaida kwao!!

Katika vipindi vyote hivyo,taasisi kubwa za kidini zilionyesha unafiki Kwa kuwa karibu na viongozi watesi kwenye warsha na mahubiri bila kujali maumivu ya wanamageuzi na familia zao!!

Taasisi hizi zingekua imara nadhani mageuzi yangeshafanyika Kwa muda mrefu sana lakini Kwa kuwa waliamua kuwa wanafiki na kuwa upande wa watesi wanao miliki wahuni huku wakitoa kauli laini laini kuwapaka viongozi hai mafuta na kuchelesha hatma ya taifa hili la Mungu!!

Sasa wameguswa,wakapigika ndani ya taasisi zao na hatma ya uchumi wao imekua ya mashaka,tangu mkataba wa bandari ulipowaumiza na kuleta shaka ya kiuchumi na hofu ikatawala ndipo akili ndani ya taasisi zao zimekaa saw nankuanza kuja na matamko mujarabu yenye kina na kutikisa office za marafiku zao watawala Ili wapate unafuu wa kibano!!

Naendelea kuwaimba wahuni waongeze uhuni Hadi makadinali na wao walazwe ili kuchochea moto was mageuzi uliowaumiza wanamageuzi was muda mrefu!!

Asanteni wahuni na viongozi wao Kwa kupiga Hadi madhabahu za ndumilakuwili na Sasawamegeuka kuwa wanamageuzi wa kweli!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Stupid thread.
Wahuni!wamepiga madhabahu na sasa wanafiki wamekataa kushirikiana na wahuninmadhabahuni na kukataa Hadi changizo zao za ufahari!huoni kwamba huo ni ushindi murua Kwa wanamageuzi!!?

Kwanini wahuni wasichochee kuni Ili madhabahu ziunge mkono mageuzi kwa nguvu kuuubwa na kuu tukombolewe!!?
 
Kwa muda mrefu wanamageuzi ndani na nje ya vyama vya siasa wamekua wakiteswa Dana na wahuni,magereza,mitaro,risasi,miili kutupwa kama mizoga baharini imekua ni mapito ya kwaida kwao!!

Katika vipindi vyote hivyo,taasisi kubwa za kidini zilionyesha unafiki Kwa kuwa karibu na viongozi watesi kwenye warsha na mahubiri bila kujali maumivu ya wanamageuzi na familia zao!!

Taasisi hizi zingekua imara nadhani mageuzi yangeshafanyika Kwa muda mrefu sana lakini Kwa kuwa waliamua kuwa wanafiki na kuwa upande wa watesi wanao miliki wahuni huku wakitoa kauli laini laini kuwapaka viongozi hai mafuta na kuchelesha hatma ya taifa hili la Mungu!!

Sasa wameguswa,wakapigika ndani ya taasisi zao na hatma ya uchumi wao imekua ya mashaka,tangu mkataba wa bandari ulipowaumiza na kuleta shaka ya kiuchumi na hofu ikatawala ndipo akili ndani ya taasisi zao zimekaa saw nankuanza kuja na matamko mujarabu yenye kina na kutikisa office za marafiku zao watawala Ili wapate unafuu wa kibano!!

Naendelea kuwaimba wahuni waongeze uhuni Hadi makadinali na wao walazwe ili kuchochea moto was mageuzi uliowaumiza wanamageuzi was muda mrefu!!

Asanteni wahuni na viongozi wao Kwa kupiga Hadi madhabahu za ndumilakuwili na Sasawamegeuka kuwa wanamageuzi wa kweli!

Mungu ibariki Tanzania!

Best thread
 
Tulishaona kuna mimbulula ilikuwa inataka kupeleka pumba zao makanisani ili ionekana ni dini fulani dhidi ya nyingine
Hii nchi imejaa mipumbavu mingi sana
Gwajima amenyolewa
Wengine wanatia maji
 
Mungu wabariki wahuni!!waendelee kuwachapa ili wanamageuzi wa kweli wapumzike iwe zamu yao kuchezea virungu,mitaro,risasi na magereza!!

Wahuni muishi milele!!
 
Huwezi kutegemea mageuzi kwa kutumia taasisi za kidini, kwa maana:
1) Sio wote wana itikadi moja
2)Sio wote wana amini Mungu mmoja
3)Kuna wasio amini chochote
Hiyo taasisi ni wanufaika wakubwa coz walimuandaa kijana Yao mseminari asimamie transition ya ukoloni kuja Tanganyika Hadi Tanzania na wao ndio sehem waliobariki chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu wakidhani ndio usalama wao!!

Leo hii wahuni ndani ya chama wamewapa kichapo Hadi wakatamani mabadiliko na tuime huru ya uchaguzi na kuacha unafiki!!

Mungu wabariki wahuni!!
 
Wahuni 10:07
Wanyoosheni masadukayo mpaka yauone mwanga na njia sahihi ya kupitia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu wabariki wahuni!!waendelee kuwachapa ili wanamageuzi wa kweli wapumzike iwe zamu yao kuchezea virungu,mitaro,risasi na magereza!!

Wahuni muishi milele!!
Wajinga wengi sana hawajui watu wanaenda tu kusali makanisani na misikitini kama mila na desturi,
Lakini hawajui siku mkitaka kuwavurugia mizinga yao ya asali, ndio utawajua ni wahuni kwelikweli, dini wanaweka pembeni na kukushughulikia ipasavyo kulinda asali yao.....
 
Back
Top Bottom