Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

Tatizo lako eti mtu akifa basi ni kwa sababu alimuonea Mbowe na wale unafikiri wewe.
Sawa JPM alikufa sababu ya uliowasema,vipi mama mkwe wa Mbowe na kaka yake Mbowe wamekufa,nao walikuwa waovu Kama JPM?
Vipi mimba zilizoharibika zilifanya uovu upi?
Watoto wachanga wanaokufa wakati wa kuzaliwa wao walimuonea Nani?
Manabii na mitume waliokufa walimuonea Nani?

Wewe ni mtakatifu Sana hata unauwezo wa kuhukumu na kumupangia Mungu Cha kufanya?

Una uhakika waovu unaowataja kesi ya Mbowe watakufa kabla yako wewe mwema hujafa? Au wewe vile mwema utaishi milele?
 
Kwa Sabaya haki imetendeka na mahakama ni huru. Kwa Mbowe haki haijatendeka na mahakama siyo huru. What a double standard!

Wakiguswa wengine mnanyamaza, akiguswa gaidi mnataka sote tumpiganie eti wakimalizana nao watakuja na kwetu!

Pathetic fools.
Pole sana. Kama kweli unaamini Sabaya kaonewa BASI inuka/simama na uende ukamkatie rufani, waweza ukamwokoa ninaamini hujachelewa.
Ndugu yangu, kama kweli kutoka moyoni mwako wamwona Sabaya kuwa ni shujaa wako, tambua kuwa kumuombea Mbowe nae afungwe hivyo hivyo, ni ushabiki tu wa 'kichawi' ambao hautamsaidia (Sabaya) kwa LOLOTE katika haya yanayomkuta.
Hata hivyo kuamua kupoteza MUDA wako bado ni hiyari yako. AMEN
 
SABAYA NI JAMBAZI NA MBOWE NI GAIDI MAHAKAMA INATENDA HAKI JUU TAIFA HILI,MUNGU AMEMUINUA MAMA KWA KUSUDI LAKE FUNGA MAGAIDI NA MAJAMBAZI YOTE
 
Kwa hiyo Samia ni mrusi mambo ya robo na kasorobo unajua mwenywe , unaongelea uzanzibar wa Samia as if ni mtu kutoka Uganda Tanzania ni moja Zanzibar ni part ya hiyo so called Tanzania... acheni kuleta ubaguzi kwa pity issues wacheni vyombo vya sheria vifanye kazi yao sio kutujazia manyuzi ya hovyo apa, unatakiwa kuelewa kuwa Samia ndio Rais wako utake usitake penda usipende ata kama katoka kojani kenge wewe.
 
Nimesema Sabaya ameonewa? Usichangie usichokielewa.
 
Mbowe amuue Chacha Wangwe na Magufuli amuachie,Are you serious?
KILA sababu za kutafutia Mbowe magufuli alizikosa.
Mbowe afanye ugaidi na magufuli amuache kweli kwa jinsi alivyokuwa akimtafuta.Mengine ayataki akili kureasoning.
 
Kesi ipo Mahakamani, na wanasema upelelezi umekamilika, ishu ni kuanza tu kusikilizwa, imechelewa kuanza sababu ya hizi pingamizi, Sioni shida kubwa hapo!! Kungekuwa na shida kama wangeanza yale mambo yao ya kila kesi ikiitwa wanasema upelelezi haujakamilika huku washtakiwa wakiendelea kusota rumande! Tusubiri Mahakama iamue, na kama DPP anaona kesi ina vigezo vyote vya kufutwa then ifutwe, ila siyo kwa mashinikizo ya kisiasa
 
ulianza vzr ilipoanza kumtetea muuza ngada,nikajua huna lolote,ni njaa tu wewe inakusumbua!!
 
Pressure ipi?
Kete ya kumsukumia ndani mwamba inadhihirisha uoga, upeo mdogo na udhaifu mkubwa kwenye ulingo wa siasa
Anahusika vipi katika hilo? Hii kesi ni mwendelezo wa kutunishiana misuli uliokuwepo kati ya aliyekuwa DC wa Hai na Mbowe! Mashinikizo ya kisiasa mnayoyapeleka serikali ya awamu ya 6 hayana msaada wowote katika kesi hii!! Mahakama itaamua, na kama DPP ataona kesi haina mashiko ataifuta, but siyo kwa mashinikizo ya kisiasa, ni serikali dhaifu pekee inaweza kupindisha sheria sababu ya mashinikizo ya kisiasa or mitandaoni
 
Kwa Sabaya haki imetendeka na mahakama ni huru. Kwa Mbowe haki haijatendeka na mahakama siyo huru. What a double standard!

Wakiguswa wengine mnanyamaza, akiguswa gaidi mnataka sote tumpiganie eti wakimalizana nao watakuja na kwetu!
Swali rahisi Tu nikuulize, kulikuwa kuna ulazima gani wa haraka Kwa Hangaya kumpandisha cheo Jaji Siyani kama haikuwa rushwa kwake???

Nikuhakukishie Jaji Siyani kamwe hatofurahia cheo kile katika maisha yake yote na wala hatofaidi mshahara wake Kwa nafasi yake mpya. Ni suala la muda tu utakuja kuamini maneno yangu.
 
Kinachowapa watu wasiwasi ni kuwa wanataka kutumia ushahidi wa kubumba ili jamaa afungwe. Fikiria ushahidi wanaotaka kutumia mwenye nao amekataa, kwamba aliteswa Sana aukubali. Hebu kumbuka jamaa walivyoteswa Kiana, bila hata kufuata kanuni za PGO.
Na huko mbele hatujui utaletwa ushahidi wa namna gani.
Shangaa kesi inavyoendeshwa, mara hakimu wa kwanza anajitoa baada kukubali kuwa mashitaka yamekosewa na anawapa nafasi ya kuyarekebisha. Huyu wa pili humo katikati anapandishwa cheo, baadae anajitoa.
Kwa kweli kesi Ina mazingira yakutatanisha
 
Mleta mada umetumia maneno meengi lakini ya kichonganishi chonganishi tu.

Hao wana CCM unaowasemea wakiteseka kwani hukuwasikia wakipanga usaliti wao mitandaoni?

Ukweli ni kwamba mkuki kwa nguruwe Sabaya ila kwa binadamu Mbowe mchungu!

Chagga Development Manifesto

Mtahangaika sana, lakini ukweli ni kwamba Mbowe anazo tuhuma za kujibu

Acheni mahakama ifanye!
 
Ungekuwa mpenda haki, tungeona threa d kama hizi kwa Sabaya. Wewe inaonekana ni mchumia tumbo tu. VIP ulishapona?
Unajua nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu. Hivi mtu una akili timamu kweli. unalinganisha kesi ya sabaya na kesi ya mbowe??? Sabaya aliumiza watu, alitorture watu na wapo na wametoa ushahidi na sio hao tu amedhulumu mtu milion 90 na kesi bado yaendelea!! mbowe amemdhuru nani??l hayo mashitaka si polisi pekee ndo wanayajua??
 
Kwa Sabaya haki imetendeka na mahakama ni huru. Kwa Mbowe haki haijatendeka na mahakama siyo huru. What a double standard!

Wakiguswa wengine mnanyamaza, akiguswa gaidi mnataka sote tumpiganie eti wakimalizana nao watakuja na kwetu!
Sabaya ni jambazi na ushahidi upo wa kutosha, acha kujivuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…