Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda


Kwenye malipo ya hapa hapa duniani, msiisahau na familia ya Chacha Wangwe iliyomwaga machozi kwa ufedhuli uliofanywa na Deus Mallya akifadhiliwa na Dj
 
Jaji anahongwa cheo ili atoe hukumu ya aliyempa cheo. Baada ya kutoa hiyo hukumu anajitoa! Safi sana... lakin Mungu yupo kazini. Tutamfukia mtu Tena soon
 
Mtaombea vifo wangapi mkuu. Hapo unatamani jaji afe mpate kusema mnaona tulisema sie. Acheni roho mbaya
 
Napita
 
 

"Mungu aishiye anaweza akanyamaza kwa machozi ya familia hizi kwa muda ila hatonyamaza milele."

Amina.
 
Mpende adui yako na kamwe usimuombee mbaya hakika utaurithi ufalme wa mbinguni.
 
Anahusika kwa kutoa muelekeo wa kesi wakati akihojiwa na BBC.
 
Mpende adui yako na kamwe usimuombee mbaya hakika utaurithi ufalme wa mbinguni.
Acha ujinga wewe,unakremishwa na wazungu maupumbavu nawe unakariri!!
Wewe ukiwa adui wa Mungu je, yeye atakupenda??
Kwanini asikupende na akaishi nawewe paradiso maana yeye anaupendo mkuu kuliko binadamu?
Nikikubaka utanipenda na kuniombea mema daima???
Tumia akili usijazwe upupu kichwani ukaongeza idadi ya mazuzu nchini
 
Nakumbuka ya zambia
 
Lisu alishasema nirushwa kupewa jaji kiongozi

Kama hatakifungu hajatumia kunanini tena
 
Mara nyingi waonevu hujua uonevu wao utawapa maisha ya milele hata magufuli alijua akaa ikulu milele , kufa mapema kwa mtu ambaye ni muonevu kwa wengine huwa inatokana na kilio cha wenye kutaabika na mateso ya mtesaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…