Nimefurahishwa na Serengeti Boys kutotwaa ubingwa, raha tupu yaani!

Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa.

Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili.

Hongera Serengeti boiz πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘.
Aliekosa penati ya pili ni mdogo wangu na aliniambia wakifika hatua ya penati atakosa kwa makududi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…