AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Senegal halaaaaaaa...Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa.
Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili.
Hongera Serengeti boiz 👏👏👏👏.
Ingesginfa hiyo team tungepigwa michambo hadi kukomaa