Senegal halaaaaaaa...Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa.
Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili.
Hongera Serengeti boiz ππππ.
Shida ni kwa wale waliotaka kuja kuvuna sifa wasipo lima ndiyo walioweka nuksi. Siku zote walikuwa wapi mimba kaweka mwingine alafu mtu anakuja kusema mtoto ni wake.
Yule Hussein Mbegu wa simba tukubali tu kipimo kilidanganya. Hakuna U17 pale.Mchezaji ana ndevu mpaka maupele
Nilikuwa KigamboniWapi tunakutana??
Nimeshangaa mchezaji amenyoa ndevu na maupele cha muhimu waache siasa na michezo ijitegemee.Yule Hussein Mbegu wa simba tukubali tu kipimo kilidanganya. Hakuna U17 pale.
Nimemsikia Paul makonda akifoka foka...Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa.
Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili.
Hongera Serengeti boiz ππππ.
Kafoka foka sanaa π hujamsikia KASEMA ETI TUKALALE TUKALALE etiii hatujawai kupeeperusha bendera ya Tanzania popote π πMimi nasubiri kumsikia Bashite anasemaje!
Nimeshajipongeza kwa PEPSI BigHongera sana
Sasa tunywe mbege kaka π.Nimemsikia Paul makonda akifoka foka...
Anasema ukisema/ ukiwazomea Serengeti boys etii...huyo mtu haijawai kupeeperusha bendera popote πππ makonda ana maliza kwa kusema kwa DHARAU KALALE KALALE KALALE
NB. MIMI PIA NIMEFURAHIA KUSHINDWA KWA SERENGETI BOYS.
Miraji alishaiona hiyoShida ni kwa wale waliotaka kuja kuvuna sifa wasipo lima ndiyo walioweka nuksi. Siku zote walikuwa wapi mimba kaweka mwingine alafu mtu anakuja kusema mtoto ni wake.
Mimi niliwai peperusha bendera ya Tanzania kuchakata mbususu/ papuchi +267Sasa tunywe mbege kaka π.