Nimefurahishwa na taarifa ya Kuongezeka Viwanda vinavyotumia gesi kutoka TPDC

Nimefurahishwa na taarifa ya Kuongezeka Viwanda vinavyotumia gesi kutoka TPDC

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
2,004
Reaction score
1,095
Katika gazeti la Daily News la 14/8/2019, nimefurahishwa na taarifa ya viwanda vinavyotumia gas kutoka TPDC kuongezeka kama hicho kiwanda cha Lodhia Steel industry.

Sasa kama wanasema katika mieze 2 wamepunguza production costs kwa upande wa umeme kutoka Tsh250M kwa mwezi mpaka Tsh80M, sisi wananchi hapa tunapata ujumbe gani?

Tutafurahi kama products zenu zitashuka bei ili tununue kwa bei nzuri sio tena bei za kununulia zibaki hivyohivyo tutakua hatujaona impact ya kutumia gas.
 
Tangu lini mdosi akafanya kitu ili wewe mtu mweusi unufaike?
 
Acheni law za demand and supply zichukue mkondo wake.
Sijajua competition level kwenye hiyo industry but it is supposed to be competitive unless kuwe na michezo michafu kama competitors wote ni watu wa asili moja
 
Back
Top Bottom