Katika gazeti la Daily News la 14/8/2019, nimefurahishwa na taarifa ya viwanda vinavyotumia gas kutoka TPDC kuongezeka kama hicho kiwanda cha Lodhia Steel industry.
Sasa kama wanasema katika mieze 2 wamepunguza production costs kwa upande wa umeme kutoka Tsh250M kwa mwezi mpaka Tsh80M, sisi wananchi hapa tunapata ujumbe gani?
Tutafurahi kama products zenu zitashuka bei ili tununue kwa bei nzuri sio tena bei za kununulia zibaki hivyohivyo tutakua hatujaona impact ya kutumia gas.