Nimefurahishwa sana na Rais wa Angola kumtuma Waziri kumpokea Rais Biden wa Marekani

Angekuwa wa kwetu wangelundikana wote na suit zao wangezipeleka kunyooshwa ulaya ili kumpokea mgeni.pia na kufagia barabara kama alivyofanya kikwete kipindi Obama anakuja
Ila Kikwete alitufanya vibaya yule πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ingekuwa hapa wangekesha uwanja wa ndege na mkuu wao.
 
Na alivyofika ofisini akaulizwa unaondoka lini? Maana ninavikao vingi vya muhimu
 
Miaka minne ijayo itakuwa migumu kwa Africa maana Trump hanaga habari na Africa. Kwenye miaka yake minne ya kwanza hakuwahi tembelea nchi yoyote ya Africa.
 
Acha unaa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…