Nimefurahishwa

Nimefurahishwa

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
2,270
Reaction score
1,207
Jamani nimefurahishwa na majadiliano ya humu ndani, nami napiga hodi mnipokee.
 
Ole wako nikute umechangia status ndani ya miezi 6 ya mwanzo.
Na haka ka thread kako kawe ka mwisho mpaka miezi 6 ipite.
JF sio FB kule mnakoandika ushuzi January to December.
 
acha kumtishia mgeni apokelewe kwa furaha sio una anza mwekea na mipaka mwache atajifunza na kuelewa vyote vya umu
well come new come.
 
Ole wako nikute umechangia status ndani ya miezi 6 ya mwanzo.
Na haka ka thread kako kawe ka mwisho mpaka miezi 6 ipite.
JF sio FB kule mnakoandika ushuzi January to December.

We mbona unapiga mikwara sana kwani JF ya babaako?

Ujinga ni mwanaJF kuiponda FB wakati JF wenyewe wanaPAGE na GROUP kule FB
 
Ninachoshangaa mimi hapa,kwani Facebook inaubaya gani?
 
fikra za mtu mdo mtu mwenyewe
 
paka akijiangalia kwenye kioo anajiona simba. je taswira anayoiona inaondoa ukweli kwamba yeye ni paka?
 
Back
Top Bottom