Marafiki 50 nilishtuka maana hata watu nakutana nao mara, kwa mara hawafiki hiyo idadiMakosa nayoyaona mimi;
1. Kuwa na marafiki wengi, huwezi kuwa na marafiki wote hao. Labda useme ni watu tu mnawasilina lakini marafiki kama marafiki huwa ni idadi ndogo sana, labda watano tu.
2. Kufanya huku ukisubiri fadhila, kama ni mtu wa kusaidia huna haja ya kuangalia nimemsaidia nani kwa ajili gani na atanipa nini nikipata majanga.
3. Unasaidia kupitiliza, watu wengi hivyo unajitoa kwao? Ni wengi mno...
Yani ndo umejua leo? Anyways hongera sana KWA uamuzi mzuriLast week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Na mwenye maneno ya shombo kama wewe hapa MMU wakupunguze?Kama rafiki humwelewi (Mpunguze)
Kuropoka ropoka hachelewi (Mpunguze)
Ukimwona sio (Mpunguze)
Anapenda mademu wa mwenzie (Mpunguze)
Anapenda bata hana kazi (Mpunguze)
Rafiki gani mduanzi (Mpunguze)
Rafiki gani kwenye raha (Mpunguze)
Kwenye shida mbali anakaa (Mpunguze)
Mim hua siblock hua nafuta siku akipiga nauliza we nani akiuliza kwani huna namba angu namwambia nilifuta kwa sabb fulani.Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Urafiki maandazi nilisha ukataa ,Mimi nilishaweka mipaka kuna watu wakupiga nao stori vitu vingine siwahusishi na kuna watu naweza kuwaeleza shida nao hawazidi watatuUna marafiki 50?
Au huwa unajichekesha kwa watu na wakitoa positive response unaanza kuwaita marafiki. Nina watu ninaofahamiana nao wengi na naongea na wengi ila sina marafiki zaidi ya 10. Na siombiombi hela kwa marafiki, sio donors hao. Huwezi pima urafiki kwa kuomba hela tena ukitarajia upewe instantly
polygon of infinite sidescircle
Baada ya kufuta ukachukua maamzi gani mengineLast week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Mimi Nina rafiki mmoja huyo ni yesu tu anifaaye maishani ❤️Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Bora iwe hivyodaaah 😅😅😅😅
Nawaza marafiki zangu wakojaribu hii mbinu kwangu kipindi hiki basi ntabaki sina rafiki
Pole kama unasaidia wenzako Ili nawe wakusaidie basi ni Bora usitoe msaadaLast week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
SureHalafu issue hizi za kupima watu ni za kitoto kabisa. Usirudie kufanya hivyo unatakiwa uwe real man.
Siwezi kuwa na namba ya mtu kama wewe, utaniblock na sina mpango wa kukupigia. Yani niwe na mtu nampima urafiki kwa kuomba hela nikiwa na shida, asiponipa instantly niseme sio rafiki yangu? Huo si utoto sasa.Aliomba hela au alikua anaomba msaada wa kifedha kutatua tatizo alilonalo?, aina yako ndio hua mnajua mtu ana shida akili yako unawaza tu kwamba anataka hela, hauwazi kua rafiki yangu huyu anahitaji msaada wa shida aliyonayo..
Hujawahi patwa na matatizo wewe, unajiona mungu sio,
Mwendo ule ule tu kublock na kufuta takataka ambazo hazina msaada kwenye maisha.
Imagine mtu una mtongoza dem wake kwa no nyingine na dem ana jibu yuko single [emoji28][emoji28]ndo mwanzo wa kupunguza upendoKuna watu wengina wanawapima mademu zao uaminifu. Guys hii kitu siyo ya kufanya kabisa unaweza kuja kujuta baadae. Wewe kama mwanaume pambana kivyako, acha kulia lia. Mwanaume hana rafiki