MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kuna mwingine haelewi mguso wako bila kumpa helaUjue mkuu,kusaidia mtu sio mpaka utoe hela onyesha hata kuguswa tu.jitu unaliomba msaada linakuzimia simu kweli?
Sasa mtu anakwambia niko polisi nahitaji 50,000 au nahitaji 100,000 nina emergency unaanza kutoa nasaha zitasikilizwa kweli?😅😅😅😅Mkuu sio lazima utoe msaada wa kifedha.Muda mwingine unaweza kumsaidia mwenzio kwa kumpa tu msaada wa kisaikolojia Kama ushauri nasaha na mengineyo.
Usikute na wao wamekublock kwamba umezidi kuombaombaLast week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka...
Rafiki wa kweli ni njaa tu....uwe na hela usiwe na hela ye yuko na wewe tuLast week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka...
The Monk, naomba soft copy ya hiki kitabu
Bila screenshot hainogiLast week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
KabisaCkuiz masnitch Ni wengi Sana kwa kweli.
Kuna watu wanazugaga kuwa marafiki zako ila ukiondoka wanaanza kukudiss kwa watu.
Ikija Kwenye suala la msaada ndio kabisa huwaoni Tena.
Let's choose our friends wisely.
Haya mambo ya kujaribiana hayafai kabisa. Unatakiwa umwamini mtu namna alivyo. Tunatakiwa duniani kuishi kwa furaha. Kuanza kuchunguzana chunguzana ni kujipa stress na kufa mapema.Imagine mtu una mtongoza dem wake kwa no nyingine na dem ana jibu yuko single [emoji28][emoji28]ndo mwanzo wa kupunguza upendo
Ndo unaambiwa kufa kivyako.Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.
Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.
So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.
Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.
Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!
Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Ndo wote mkuu, japo kuna wakweliKuna sku utawahitaji tena , igizo kamwe haliwez kuwa mbadala wa uhalisia ,