Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

Haya maisha bwana unaweza kudhani mtu amekunyima kumbe hata yeye hana labda unaejua mishe zake hawezi kukosa cash
Na hii ya kudhani jamaa hawezi kosa cash ni kosaa piaa kubwaa sanaa maana hujui majukumu yake...!! Labda ana mikopoo ya kutosha na madeni kibao..
 
Ulikuwa huwajui wazee wa mma? Hupenda wenzao wakati wa kilaji tu na sivingine.
 
Aidha hujaelewa point yake au upeo wako na walio kupa LIKES upo chini sana. Ila ninachokiona you have low thinking capacity. Yeye alikuwa hana shida ila alijaribu kuwapima washikaji wa karibu kuona nani ata respond hata Kwa kuguswa tu na msala wake, kama contacts za smartphone yako Zina watu 400++ utakosa watu 50 wa kuwaomba msaada!?.., wewe ni mpuuzi na mpumbavu, samahani mkuu Kwa kukwambia ukweli...
 
Samahani yako kaa nayo, wewe ni bata mzinga.

Aliyekwambia marafiki wanapimwa kwa kushtukizwa hela ni nani? Rafiki sio financial institution kwamba at any time anakuwa na cash mkononi amesubiri umpime kwa kuomba hela ili akutumie kulinda urafiki wenu.

Wewe huna low thinking capacity bali ni kilaza. Kwahiyo kwa vile una kijiji kizima kwenye phone book ndio guarantee kwamba 50 kati ya hao watakutumia hela. Tofauti yako wewe na mdangaji ni nini sasa.

Au una makubaliano na Mungu kwamba ukiomba marafiki hela basi wawe nazo instantly. Watu kama wewe inabidi uwe chawa kwa matajiri (ambao sio marafiki zako kwa sababu hawawezi kuwa na rafiki kilaza kama wewe), hao ndio ukishtukiza hela wanakuwa nazo. Sio una marafiki level zako, wewe mwenyewe umekosa 50k yako hapo ila unalalamikia wenzako waliokosa hela hiyo hiyo uliyokosa wewe.
 
Sio kweli, huwezi kuguswa na matatizo ya watu wengi ukakosa hata mmoja wa kukuokoa,
Jitathmin labda una ujanja ujanja wa kisela usio na maana wakaamua kukupuuza.
 
Fanya urafiki na Mungu sio watu.wanaadamu ni marafiki ukiwa nacho tuu.yakikupata matatizo wanasambaa
 
Wanasema maisha ni watu ila ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mshkaji wangu alinikopa 20K toka mwezi wa 10 mpaka leo hajairudisha na aliniambia baada ya mwezi ananipa na ni katibu wa vijana CCM kata ya Kisutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…