Nimega umbea kidogo huyu ndo chakula ya Diamond mpya

Nimega umbea kidogo huyu ndo chakula ya Diamond mpya

Cha kushangaza anakataaga kumbe kweli anambunyua huyo mtu anaesemwa nae na hamisa mobeto nae alikataaga hivi hivi tena redioni.
 
Mfalme Suleiman na hekima zake zoooote, wanawake walimpoteza.
Wanawake ni viumbe hatar sana,

Daudi na yy Mwanamke alimuangusha.
Samsoni pia
Ibrahim pia
Absalom pia (kisa cha nani sijui alilala na dada yke Tamari)
na wengine wengine....

lakini pia ukijua kuishi nao vizuri na kuwatumia unaweza kuishi maisha mazuri sana....hasa mwanamke akijitambua.
 
Mfano ni akina Dorcas, Esta, Mariam na wengine wengi. Tatizo sio wananwake, ila unaishi nao vipi.
 
tahiya huyoo wakuu namuona kama model wa wasafi saaasa kama simba anamla labda ila mbona kama ipo kishilawadu sana hii issue
 
Back
Top Bottom