😂 Mkuu, hapa tatizo si harusi tu, ni jibu ulilompa. Huenda alitegemea kusikia mipango ya karibu na ya pamoja, wewe ukamjibu kama mkutano wa Zoom.Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?
Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.
Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Niliona nimwambie tu ukweli mkuu, au nimekosea??😂 Mkuu, hapa tatizo si harusi tu, ni jibu ulilompa. Huenda alitegemea kusikia mipango ya karibu na ya pamoja, wewe ukamjibu kama mkutano wa Zoom.
Mfuate, mtulize na umwambie ulikuwa unatania/ulijibu vibaya. Usiruhusu begi lifike mlangoni. 😄
Kuna matukio kadhaa yameripotiwa.Mkuu kwa tunakoelekea utafanya harusi kwa AI
Mpaka ugombane na mchumba wako kwani huwa mnafanya nini kama sio wazinzi?Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?
Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.
Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Vipi unapigaa Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?
Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.
Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Kupiga nini mkuu??