Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

Mtafute atakayekubaliana na masharti yako

Sisi Wanaume ndiyo waamuzi kwenye ndoa, iwepo ama isiwepo

Mwambie ajifunze kwa Wazee wa mwaka 47, sisi tulioa bila uwepo harusi

Tukimaliza kulipa posa na mali, tulikuwa tunaondoka na mke
 
Nikiwa mkubwa, nataka niwe kama wewe...😜
 
Shida inaanzia hapo kwenye zoom, labda ana wasiwasi kwa sababu ndugu zake wengi hawana smart phones.
Hebu mwambie utawaunulia ukoo wake mzima simu janja uone atasemaje πŸ˜† πŸ˜‚
 
Shida inaanzia hapo kwenye zoom, labda ana wasiwasi kwa sababu ndugu zake wengi hawana smart phones.
Hebu mwambie utawaunulia ukoo wake mzima simu janja uone atasemaje πŸ˜† πŸ˜‚
Hizi ndio mbinu za kivita mwali....πŸ˜‹
Ebu ngoja nimwambie ili nione alafu nitaleta mrejesho
 
Akinuna na wewe nuna, Akiondoka zama telegram siku hizi hatubembelezi nyapu nyingi mno kwa ground.. sisi ndo tunabembelezwaa alaa.
 
Nashauri hata ugomvi wenu muumalize kupitia zoom...
 
Singo mothers ndo wanapenda hekaheka za harusi ili wawaringishie watesi wao. Huyo wa kwako kama hakuwa singo mother kabla ni jazba tu, akitulia ukamwelewesha harusi inafanyika vizuri tu.
 
Sherehe ya nini wakati mnaishi pamoja sasa? Hivi mnakiki kweli...?
 
ana miaka mingapi na wewe una miaka mingapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…