Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

Oya hayo ndo maamuzi ya kiume ni kweli hizo dawa zipo lakini ila mtoto wakiume akianza kushikwashikwa hizo sehem ataona ni kitu cha kawaida dawa ni kukataa kabisa hakuna kitakachomuua apige hata paracetamol ndo uanaume huo.
Pamoja kamanda..na hik ndio kilisumbua, saikolojia ya mtoto kuona ni sawa tu kumbe kuingizwa ingizwa vitu huko nyuma.
 
Hiyo anayowekewa kwenye rectal route tunaita suppository.

Ethically mgonjwa anahaki na maamuzi ya kukubali au kukataa tiba , ila kwa mtoto huyo mdogo anatakiwa aamuliwe wewe utamnyima haki yake kupata matibabu.(sijui kwa bongo iko vipi)

Suppository watakayomuwekea huko itadegenerate baada ya muda tu kutokana na joto la huko , ndio maana hata ukichukua jotoridi la mdomoni na kwenye puru joto la usahihi ni kukaribiana na mwili ni la kwenye puru hivyo basi hata suppository hiyo itayeyuka maana huwa iko molded kwenye base /adjuvant za cocoa oil.

Zaidi ya hapo nadhani huyo daktari hana intravenous paracetamol kama first choice ndio maana kaenda kwenye suppository.

Mpe kijana tiba usije kumpoteza kisa hakuna intravenous paracetamol.
 
Sikuwahi kuliwazia hili ila inafikirisha hasa kwa madaktari kupenda ku recommend hii dawa kama vile hakuna mmbadala mwingine.

Ukute ni moja ya maagizo ya watu LQGBT kutaka kila mtu awe mdau wao.

Sitokubali tena mwanangu achomekwe hii dawa makalioni
Mkuu ni hatar.. wanasema was waa muda mwingine ndio akil. Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Sawa mkuu..joto la puru ni hatari inawezekana ndio maana watu wanalipenda. Mimi bwana nikagoma. Wamwachie puru yake mwanangu.
 
Hiyo kawaida tu na wala haichangii ushoga ni uoga wako tu
 
Kama kuna alternative kama walivyosema wadau ulikuwa sahihi kwa huo msimamo wako.
HUwa naamin kwamba kila kitu hapa dunian kina alternative. Nisipoipata kwako haina maana haipo, ni uwezo wako umeishia hapo. Wengine wataanzia ulipoishia wewe. Ndio maana kuna REFFERALS
 
Is it safe?
 
Hiyo kawaida tu na wala haichangii ushoga ni uoga wako tu
 
Mkuu matrix,
Muwe mnatoa elimu Kama hizi kuna mtu huko juu yupo kwao nanjilinji na kibatari anasema hizo dawa ni LGBTQ.

tunapenda elimu kama hizi zitolewe
Shukrani Mimi nimeelewa umeeleza kisomi zaidi.
 
Sawa mkuu..joto la puru ni hatari inawezekana ndio maana watu wanalipenda. Mimi bwana nikagoma. Wamwachie puru yake mwanangu.
Dogo walitaka kumuwekea hivyo vidonge pia nilikataa, wakampa paracetamol ya kawaida na homa ikatulia, hospitali za siku hizi ukiandikiwa dawa waulize na maswali kabisa zinakazi gani maana muda mwingine wanaweza kukuzidishia madawa ili wauze tu hizo dawa
 
Is it safe?
Suppository are well tested and safe..

Rectal route is among proven and the fastest way to deliver therapeutic response , and for that case of lowering the body temperature he may go for it.

Disclaimer , I am not advocating for silly assumptions such as LBGTQ but in professional and intellectual pursuits
 
Thank you... I am at ease now
 
Mkuu matrix,
Muwe mnatoa elimu Kama hizi kuna mtu huko juu yupo kwao nanjilinji na kibatari anasema hizo dawa ni LGBTQ.

tunapenda elimu kama hizi zitolewe
Shukrani Mimi nimeelewa umeeleza kisomi zaidi.
Shukran mkuu, mimi japo sipo bongo ila ndio nashangaa hadi leo ni kama kitu kigeni mtu anakataa route ya rectal kama tiba ya kushusha jotoridi la mwili.

Jotoridi linaweza chukuliwa kwenye mdomo, kikwapa na puru pia , sijui wamemchukua kwa njia ipi.

Kiukweli daktari nadhani hajamuambia tu kuwa hana IV acetaminophen/paracetamol ndio maana kaenda kwenye suppository.

Ila route nyingine kama vaginal [pessaries&tablets] siku huyu jamaa akikuta mkewe kaandikiwa either of those anatakiwa kuchomeka huko sijui itakuaje nadhani jamaa ataua daktari hahah.

Elimu muhimu watu wasifundishwe tu kuhusu condom hata tiba hizi za aina tofauti ambazo zinaweza kuwa na aibu kutokana na tamaduni.

Huku hizo pessaries,suppositories kawaida sana kutoa na mnaongea na mgonjwa bila kificho na kwa furaha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…