Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
- #61
blood infection chiefMchafuko wa damu ndio ugonjwa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
blood infection chiefMchafuko wa damu ndio ugonjwa gani?
Doctor atoe alternative, jamaa wa LGBTQ wanashambulia kila upande kwanzia kwenye cartoon za watoto hadi kwenye cinema kila movie lazima mashoga wawepo kwahiyo mtoto hatakiwi kabisa kulelewa kwnye mazingira ya kuona kuguswaguswa ni normal tuPamoja kamanda..na hik ndio kilisumbua, saikolojia ya mtoto kuona ni sawa tu kumbe kuingizwa ingizwa vitu huko nyuma.
Diclofenac inachomwa IM na sio IVMbona kuna declofenac za kuchomwa kwny mishipa...inatuliza homa in sec....
Anaendelea vizur for sureThaaawaaa 😆 😆 😆
Ila I hope dogo yuko poa now..
More like manual rectal exploration🤣🤣🤣🤤Digital rectal exam🤔
Zipo Iv mkuuDiclofenac inachomwa IM na sio IV
🤣🤣🤣🤣🤣dahMore like manual rectal exploration🤣🤣🤣🤤
Mambo yamerahisishwa zama hizi mkuuDiclofenac inachomwa IM na sio IV
Hii naijua mkuu. Zinatumika sana kama mwanamke ana bacterial infection au UTI yaoIla route nyingine kama vaginal [pessaries&tablets] siku huyu jamaa akikuta mkewe kaandikiwa either of those anatakiwa kuchomeka huko sijui itakuaje nadhani jamaa ataua daktari hahah.
Diclofenac tangu lini ikachomwa kwenye mshipa jamani, kama vitu hamvijui/hamuelewa ni vyema kukaa kimya au ungeishia kusema kuchoma diclofenac tuMbona kuna declofenac za kuchomwa kwny mishipa...inatuliza homa in sec....
[emoji1787][emoji1787]Diclofenac tangu lini ikachomwa kwenye mshipa jamani,kama vitu hamvijui/hamuelewa ni vyema kukaa kimya au ungeishia kusema kuchoma diclofenac tu
Mkmi ishu ya mshipa wala haikua tatizo. Maana vipimo vya damu wamemchukua bila shida..na mpaka carnilar amerud nayo home mkononSababu nyingine inayopelekea mtoto kuwekewa suppository PCm ni kama.
Ana joto kali na kupata mshipa wa damu ni changamoto.
Siku zote kupata mshipa wa damu wa mtoto ni changamoto.
Mkuu Shukrani Kunitag...DR Mambo Jambo toa suluhisho la utaalamu hapa.
Ahsante mkuu. Ushauri mzuri.Pole sana...
Unayo haki ya kukataa tiba yoyote na muda wowote.
Ushauri:
1-Zipo njia nyingi za tiba
2-Matibabu yanaweza kuwa na udhalili wa aina flani ndio maana tiba ni siri
3-Tiba ya homa ni kupunguza joto
--kuna njia ya kupunguza mavazi
--kuna njia ya kukanda (sponging)
--kuna njia ya kutumia dawa za kushusha joto hususani paracetamol,ibuprofen na diclofenac(au jamii ya dawa hizi)
4-Kwa watoto homa isipotibiwa haraka hupata kifafa (convulsions)
5-Iwapo daktari alikuwa au aliona alternatice iliyopo ni rectal paracetamol ni vyema ungekubali for the immediate safety ya mtoto.
kuwekewa rectal paracetamol hakutamfanya awe shoga au hakutaharibu njia yake ya hajakubwa.
6-I.v paracetamol au other injectable medication inaweza kuwa na madhara makubwa kwenye ini au figo ya mtoto
7-Muamini daktari mwenye leseni,kiapo na mzoefu wakati wa matibabu.
Ahsante sana mkuu.Mkuu Shukrani Kunitag...
Kuna vitu kuvisemea huwa ni vyepesi sana na unaweza kuponda unavyotaka japo Hata kama hujui Kazi zinavyofanya...
Nimeona pia watu wakiongea na wengine wakiona kama it was Grave mistake done there!
But nataka kumuweka sawa ndugu yangu Ivan Stepanov...
Najua alichofanya kilikuwa chema kukataa matibabu ambayo alihisi Ni mapya jwa mwanaye na fair enough alikuwa sawa kufanya hivyo kwakuwa alionyesha kujua haki yake..
Japo Daktari alikuwa na wajibu wa kumueleza kuhusu Matumizi na ushauri kuhusu dawa hiyo...
My POV
Firstly Sijajua mgonjwa alikuwa anaumwa nini Huenda alikuwa na Convulsion (Degedege) kutokana na homa kali aliyokuwa nayo na mara zote matibabu ya kwanza kwa watoto chini ya miaka mitanu huwa ni Rectal Diazepam (Diazepam inayowekwa kuzuia madhara ya degedge na kuipunguza kabisa...
Secondly Treating Fever kwa Mtoto chini ya Miaka Mitano (High Grade Fever) its very challenging since antipyratic nyingi -NSAID (Dawa za kuzuia Homa) huwa ziko contraindicated (Haziruhusiwi) unless under certain emmergence circumstance...
(Kuna mmoja nimeona amesema IV Diclofenac na IM Diclofenac kwa mtoto under 5 its contraIndicated unless kuna sababu maalum kuwa mtoto huyo asipochomwa atakufa)
ni kwa sababu Dawa hizo zina side effects nyingi na half of it mtoto cant Handle..
turudi kwenye case yetu..
Kutokana na challenge nyingi na mtoto huenda kushindwa Kunywa dawa kawaida there come another Second root line of treatment ambayo ni per Rectum...
Suppository zote huwa ni safe na hazina madhara yoyote na ni njia ya haraka na safe kwa watoto..
na By the way NJIA YA PER RECTUM..
Dawa nyingi za watoto i think zimeanza kutumia njia hii since miaka ya 70 sasa nashangaa watu kuliunganisha swala hili na LGBTQ (Its Nonsensual Thing i ever Heard)
Mkuu Diclo Iv zipoDiclofenac tangu lini ikachomwa kwenye mshipa jamani,kama vitu hamvijui/hamuelewa ni vyema kukaa kimya au ungeishia kusema kuchoma diclofenac tu
Nop sio wwe..Wewe umepresent case ila nimepitia comments Sikufurahishwa nazo..Ahsante sana mkuu.
Kwanza kabisa nisema sijaandika kwa lengo la kuponda. No. Ni vile sijawah kuizoea namna hii ya matibabu.
Naaa
Nikiri waz daktari alikua honest akasisitiza kuwa kwa umri wa mtoto sio vyema kuchomwa sindano na kwa hili nikakubali bila kusita. Mi vile tu sikua comfortable na mtoto kuwekewa vidongo nyuma.