Sasa hivi unaishije, maana bila chakula cha usiku ni issue. πMpaka nikiolewa ndo nitakua nakula.
Sasa hivi unaishije, maana bila chakula cha usiku ni issue. π
Wewe unajua Mimi naishi vipi? π π πNaishi kama unavyoishi wewe, ratiba zetu sawa
Mkanda wa jeshi ndio nini?Hivi ee? Maana wengi naona wapigwa sana na hii mkanda ya soldier
Kwishaaaπ’Wanasema dalili nyingine ni koo kuuma. Nimemeza mate kwa nguvu kweli koo linauma ahsee
Kua na huruma mkuu...π€£Kama na mkanda wa jeshi uliumwa basi huo wenyewe
Dahhh....πͺKwishaaaπ’
ππ₯΄Kua na huruma mkuu...π€£
Ni Kama ugonjwa wa ngoz ila wenyewe unakuwa ni kidonda kama umeungua chenye vipele usaha fulani hiviMkanda wa jeshi ndio nini?
Kwamba wenye ukimwi walimsahau muumba wao ?Mkuu wewe anza kula vizuri , fanya mazoezi, mrudie muumba wako.
Then kapime uanze dawa mapema.
π€£π€£π€£ Sasa hata asipokiwa na huruma bado haitabadilisha matokeo. Kama jamaa hadi MILITARY BELT aliipata nadhani kwa muda uliopita hadi sasa atakuwa TOP MANYOTAKua na huruma mkuu...π€£
Herpes Zooster (mkanda wa jeshi) mara nyingi huwapata watu ambao kinga zao za mwili zimeshuka (dhaifu) ndio maana wenye vvu kupata herpes zooster ni jambo la kawaida.Hivi ee? Maana wengi naona wapigwa sana na hii mkanda ya soldier
OkHerpes Zooster (mkanda wa jeshi) mara nyingi huwapata watu ambao kinga zao za mwili zimeshuka (dhaifu) ndio maana wenye vvu kupata herpes zooster ni jambo la kawaida.
Story nyingi tunatunga ili jukwaa lichangamkeNaona kama ameleta kistory cha kutunga huyu...