Nimegundu kuwa.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
...wale watu wapendao sana kuutetea uzinzi/ uzinifu ni maneno tu na wala si wazinifu kihivyo. Pia wale wapendao kuupiga vita sana ndio wenyewe haswa kwenye hayo mambo.

Unakuta mtu anatembea na mume wa mtu au mke wa mtu lakini Teamo au Aspirin wakiutetea watu hao wanakuwa mstari wa mbele kuulaani huku matendo yao hayalingani na maneno yao ya JF.

Je, huu ni unafiki ama?
 
Kuna ukweli hapo hata wale wanaopinga tiGo huenda ni maalwatani kwenye hayo mambo!
 
Mkuu sidhani kama nikinyume chake hapo
 
Kuna ukweli fulani kuhusiana na hii kitu ukikuta mtu anapinga sana kitu basi yenye ndio alwatan wa kufanya hayo anayoyapinga
 
Mkuu umechakachua mmoja wao nini?
 
Kuna ukweli fulani kuhusiana na hii kitu ukikuta mtu anapinga sana kitu basi yenye ndio alwatan wa kufanya hayo anayoyapinga

Wachungaji huwa wanahubili nini? Na nini wanakifanya hapo utapata jibu
 
umegundua eeeee huwezi jianika hata siku moja msema ovyo mara nyingi hawafanyi subiri ukutane na wale kobe huwezi amini matendo
 
Na sasa wakuu wa dini wameruhusu matumizi ya mipira yetu ile, mambo yatakuwa "Mbaaaaya zaidi"
 
dah... ISC imepata shavu la wiki aisee
 
Kwa hiyo unataja watu waanze kuupigia debe uzinifu, ili waonekane si wazinifu?
 
...

Unakuta mtu anatembea na mume wa mtu au mke wa mtu lakini Teamo au Aspirin wakiutetea watu hao wanakuwa mstari wa mbele kuulaani huku matendo yao hayalingani na maneno yao ya JF.

Je, huu ni unafiki ama?

Na inawezekana watajwa hapo juu ni waathirika wakubwa wa kuibiwa wapenzi wao huku wanajifanya ndo ma-infidee wazoefu humu JF :A S-alert1:

Kuna msemo kuwa mwizi hajitaji, nadhani ndo wahusika wanautumia Bwana Mheshimiwa Sana Nyani!
 
Hakika! Inawezekana hao mabwana wanamegewa sana wake zao....:teeth::teeth:

Can't imagine kumwona kamanda Aspirin amefura povu likimtoka baada ya kugundua mama Matesha anamegwa....(perish the thought)
 
hakika! Inawezekana hao mabwana wanamegewa sana wake zao....:teeth::teeth:

Can't imagine kumwona kamanda aspirin amefura povu likimtoka baada ya kugundua mama matesha anamegwa....(perish the thought)

aimen.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…